[caption id="attachment_21888" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua ujenzi wa shule ya msingi Ng’au, iliyopo kata ya Mnacho Wilayani Ruangwa[/caption] [caption id="attachment_21889" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mipira miwili na jezi Meneja wa timu ya Namungo FC Fred Kimbi, katika Mkutano wa hadhara uliyofanyika katika kata ya Mbekenyera, Wilayani Ruangwa[/caption] [caption id="attachment_21890" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa shule ya msingi Ng’au, katika kata ya Mnacho, Wilayani Ruangwa, alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya siku moja Wilayani Ruangwa[/caption] [caption id="attachment_21891" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Shule ya msingi Ng’au iliypo Wilayani Ruangwa, Daniel Chilemba kwa kusimamia ujenzi kikamilifu, wakati alipoenda kukagua ujenzi wa shule.[/caption] [caption id="attachment_21892" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Mkoa LIndi, Godfrey Zambi,akiwa anaelekea Dodoma, Waziri Mkuu alikuwa na ziara ya kikazi ya siku moja Wilayani Ruangw. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]