Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisaini vitabu vya wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Bondeni Mjini Kibaha kwa ajili ya kuaanza ziara ya kikazi Mkoani Pwani june 20,2017 kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya kuhutubia wananchi wa mji wa Kibaha Mkoani Pwani june 20,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mji wa Kibaha Mkoani Pwani June 20,2017. Rais Magufuli yupo Mkoani Pwani kwa Ziara ya siku tatu
Wananchi wakifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mji wa Kibaha Mkoani Pwani June 20,2017. Rais Magufuli yupo Mkoani Pwani kwa Ziara ya siku tatu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mwananchi Azilongwa Buhali alipokuwa akimuelezea shida yake mara baada ya kuhutubia wananchi wa Kibaha Mkoani Pwani.
Kikundi cha ngoma kutoka JKT kikitumbuiza kwenye Mkutano huo