[caption id="attachment_10379" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Mhe. Salama Mbarouk Khatib mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Makonyo Wilaya ya Chake chake leo katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Kusini Pemba.[/caption] [caption id="attachment_10381" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na viongozi wakati alipofika viwanja vya Ukumbi wa Makonyo Wilaya ya Chake chake leo katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Kusini Pemba.[/caption] [caption id="attachment_10384" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Viongozi mbali mbali walipokuwa wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Kusini Pemba.[/caption] [caption id="attachment_10387" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi katika Mkoa wa Kusini Pemba leo katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya maendeleo.[/caption] [caption id="attachment_10390" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na viongozi katika Mkoa wa Kusini Pemba leo katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo.[/caption] [caption id="attachment_10391" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati pichani) wakati alipokuwa akizungumza na viongozi mbali mbali katika Mkoa wa Kusini Pemba leo katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheir na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mwanajuma Majid Abdalla (kushoto).[/caption] [caption id="attachment_10392" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati pichani) wakati alipokuwa akizungumza na viongozi mbali mbali katika Mkoa wa Kusini Pemba leo katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo. (Picha na Ikulu.)[/caption]