Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ziara ya Rais Dk.Shein Mkoa Kusini Unguja
Aug 18, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_9356" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati ) akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Haji Omar Kheri jana baada ya kumalizika kwa Mkutano wa majumuisho ya Ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja, uliofanyika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Tunguu Wilaya ya kati Unguja, kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mashavu Sukwa.[/caption] [caption id="attachment_9357" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mashavu Sukwa baada ya kumalizika kwa mkutano wa majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kusini uliofanyika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Tunguu Wilaya ya kati Unguja.[/caption] [caption id="attachment_9358" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ametoa agizo la kusimamishwa kwa Ujenzi wa majengo katika Kiwanja Kilichokabidhiwa Wizara ya Afya bila ya Serikali kuwa na taarifa rasmi kuhusu Ujenzi huo unaoendelea katika eneo la Binguni Wilaya ya Kati Unguja, awali eneo hilo Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira walilikabidhi kwa Wizara ya Afya,Wizara zinazohusika zimetakiwa kutoa taarifa juu ya Ujenzi unaofanyika katika kiwanja hicho. (Picha na Ikulu.)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi