Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ziara ya Majaliwa Wilayani Kwimba
Feb 16, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_28864" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya pantoni ya MV Kigongo baada ya kuvuka ziwa Victoria akitoka Sengerema kwenda Kwimba Februari 16, 2018. Watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongell.

[/caption] [caption id="attachment_28868" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo katika mji mdogo wa Ngudu, Februari 16, 2018. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, Dkt. Anthony Diallo.[/caption] [caption id="attachment_28867" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kwimba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo katika mji mdogo wa Ngudu Februari 16, 2018.
[/caption] [caption id="attachment_28866" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la pamba katika kijiji cha Igumambogo wilayani Kwimba akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Februari 16, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella.[/caption] [caption id="attachment_28865" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtwika ndoo ya maji, Esther Balele baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Igumambogo wilayani Kwimba Februari 16, 2018.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi