Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Yaliyojiri Bungeni katika Picha leo June 19,2017
Jun 19, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_3814" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akiteta jambo na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3817" align="aligncenter" width="750"] Maafisa habari wa chama cha Public Relations Society of Tanzania (PRST) kutoka Jijini Mwanza wakifuatilia kwa makini shughuli za Bunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3818" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akiwa na Naibu Katibu wa Wizara hiyo Bi.Nuru Millao na Viongozi Waandamizi wa Wizara wakifuatilia mijadala mbalimbali katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3820" align="aligncenter" width="750"] Wabunge kutoka Bunge la Msumbiji ambao ni wajumbe wa kamati ya Serikali za Mitaa kwa ambao wamekuja kwa ziara ya mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.(Picha Zote na Daudi Manongi)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi