Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Picha: Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Yapamba Moto.
Mar 03, 2026
Matukio katika Picha: Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Yapamba Moto.
Katibu Mkuu wa EAC Bi. Veronica Nduva akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Maandalizi ya kilele cha Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaotarajiwa kufanyika Machi 07, 2026 Jijini Arusha.
Na Administrator

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi