Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wizara ya Ujenzi Yatoa Elimu Sheria Mpya Udhibiti wa Uzito wa Magari
Aug 30, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34617" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wakiwa katika kikao kazi cha utoaji Elimu juu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashiriki (2016) na Kanuni zake za mwaka 2017. Kikao hiki kimefanyika mkoani Morogoro na kuhusisha Kanda ya Mashariki iliyojumuisha mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_34619" align="aligncenter" width="750"] Msimamizi wa Mizani za Mkoa wa Pwani, Charles Ndyetabula, akichangia mada wakati wa kikao kazi cha utoaji Elimu juu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashiriki (2016) na Kanuni zake za mwaka 2017. Kikao hiki kimefanyika mkoani Morogoro na kuhusisha Kanda ya Mashariki iliyojumuisha mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_34620" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), kupitia Kitengo cha Usalama na Mazingira, Mhandisi Julius Chambo, akiandika maoni ya washiriki katika kikao kazi cha utoaji Elimu juu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashiriki (2016) na Kanuni zake za mwaka 2017, mkoani Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_34618" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), kupitia Kitengo cha Usalama na Mazingira, Mhandisi Julius Chambo, (wa tatu kushoto waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao kazi cha utoaji Elimu juu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashiriki (2016) na Kanuni zake za mwaka 2017. Kikao hiki kimefanyika mkoani Morogoro na kuhusisha Kanda ya Mashariki iliyojumuisha mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Morogoro.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi