Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Yawasilisha Bungeni Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2017/18.
May 25, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_1625" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (kati kati)na Naibu wake Mhe. Angeline Mabula (wa kwanza kulia) katika picha ya pamoja na Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Einar H. Jensen na Mshauri wa Programu ya kuwezesha umilikishaji Ardhi (LTSP); Suleiman Dabbas na watendaji wakuu wa Wizara – bungeni, Dodoma baada ya kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2017/18.[/caption] [caption id="attachment_1627" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Moses Kusiluka na baadhi ya watendaji wa Wizara wakifurahia jambo nje ya Bunge baada ya kuwasilishwa kwa hotuba ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo.[/caption] [caption id="attachment_1630" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Kamishna wa Ardhi, Mary Makondo (wa kwanza kulia) na watendaji wakuu wengine wa Wizara wakiteta nje ya bunge baada ya kuwasilishwa kwa hotuba ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi.[/caption] [caption id="attachment_1636" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Moses Kusiluka na baadhi ya watendaji wa Wizara wakifurahia jambo nje ya Bunge baada ya kuwasilishwa kwa hotuba ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.[/caption] [caption id="attachment_1639" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Kamishna wa Ardhi, Mary Makondo na watendaji wakuu wengine wa Wizara wakiteta nje ya bunge baada ya kuwasilishwa kwa hotuba ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi.[/caption] [caption id="attachment_1640" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, Ezekiel Mpanda na timu yake wakiwa nje ya Bunge, baada ya kuwasilishwa kwa hotuba ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.[/caption] [caption id="attachment_1641" align="aligncenter" width="750"] Watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wakiendelea na kazi ya kujibu hoja zilizowasilishwa Bungeni.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi