Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Akabidhiwa Kinyago cha Kimakonde Kuenzi Ushirikiano
Sep 21, 2017
Na Msemaji Mkuu

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Rodney Thadeus (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Kinyago cha Kimakonde aina ya Ujamaa Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Mhe. Nathi Mthethwa kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe jana Jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni ishara ya kuendeleza ushirikiano kati ya nchi mhizo mbili katika sekta ya Sanaa na Utamaduni. Kulia ni Rais wa Shirikisho la Sanaa na Ufundi Tanzania, Bw. Adrian Nyangamale.

Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Mhe. Nathi Mthethwa (katikati), Mkurugenzi Msaidizi wa Idarra ya Habari Bw. Rodney Thadeus (kushoto) na Rais wa Shirikisho la Sanaa na Ufundi Tanzania, Adrian Nyangamale (kulia) wakiangalia kinyago cha Kimakonde aina ya Ujamaa ikiwa ni ishara ya kuendeleza ushirikiano kati ya nchi mhizo mbili katika sekta ya Sanaa na Utamaduni. Bw. Rodney alimkabidhi kinyago hicho Mhe. Mathethwa kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi