Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri wa Habari Akutana na Wasanii wa Filamu na Waandishi wa Habari wa AFM Dodoma
Jun 21, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_4081" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (Katikati) akiwa na waandishi wa habari wa A Fm Radio walipomtembelea Bungeni leo Tar 21 Juni 2017.[/caption] [caption id="attachment_4082" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Filamu, Ndg Nice Mtunze na Bi Lydia Mgaya walipowatembelea Bungeni leo Tarehe 21 Juni 2017.[/caption] [caption id="attachment_4083" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura wakiwa katika picha ya pamoja waandishi wa habari wa A Fm Radio walipomtembelea Bungeni leo Tar 21 Juni 2017.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi