Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwakyembe Ashuhudia Stand United Ikipata Udhamini wa BIKOSPORTS
Dec 13, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24762" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Shinyanga Mjini Steven Masele akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa timu ya Stand United ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.[/caption] [caption id="attachment_24763" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Wilfred Kidau akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa timu ya Stand United ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.[/caption] [caption id="attachment_24764" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi toka Bodi ya Michezo ya kubahatisha Kabora Mboya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa timu ya Stand United ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.[/caption] [caption id="attachment_24765" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha ya BIKO Charles Lugeta akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa timu ya Stand United ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.[/caption] [caption id="attachment_24766" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye suti) akimkabidhi jezi Mwenyekiti wa Klabu ya Stand United Charles Lugeta ikiwa ni sehemu ya ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.[/caption] [caption id="attachment_24767" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa tatu toka kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni mia moja Mwenyekiti wa Klabu ya Stand United Charles Lugeta ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO. (Picha na Eliphace Marwa)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi