Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwakyembe Aridhishwa na Maboresho ya Uwanja wa Taifa na Uhuru kuelekea Mashindano ya AFCON
Apr 09, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41980" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiingia katika Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa maboresho ya uwanja huo kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_41981" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akikagua jukwaa maalum litakalotumiwa na Waandishi wa Habari wakati wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam, kushoto ni Meneja wa Uwanja huo Nsajigwa Gordon na katika ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Susan Mlawi.[/caption] [caption id="attachment_41982" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika chumba maalum kitakachotumiwa na Waandishi wa Habari wakati wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) ikiwa ni sehemu ya ziara ya Waziri huyo kukagua maboresho ya uwanja huo kuelekea kuanza kwa mashindano hayo mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_41983" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiwa amekaa juu ya kitanda kitakachotumika kwa majeruhi wakati wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) ikiwa ni sehemu ya ziara ya Waziri huyo kukagua maboresho ya uwanja Taifa kuelekea kuanza kwa mashindano hayo mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam, kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Susan Mlawi.[/caption] [caption id="attachment_41984" align="aligncenter" width="979"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akiendelea na ziara yake ya ukaguzi wa maboresho ya miundombinu ya kiwanja cha Taifa na Uhuru kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam, wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Susan Mlawi.[/caption] [caption id="attachment_41985" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Susan Mlawi (kushoto) wakati wa ziara ya Waziri huyo kukagua maboresho ya miundombinu ya uwanja wa Uhuru kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja wa Uwanja huo Bw. Nsajigwa Gordon.[/caption] [caption id="attachment_41986" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Susan Mlawi (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua maboresho ya miundombinu ya uwanja wa Uhuru kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja wa Uwanja huo Bw. Nsajigwa Gordon.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi