Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwakyembe Akutana na Uongozi wa MISA –TAN Kujadili Maendeleo Katika Sekta ya Habari
Nov 14, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38155" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Habari ya MISA –TAN kuhusu maendeleo ya sekta ya Habari leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38156" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari ya MISA – TAN Bibi.Salome Kitomary (Kushoto) akitoa maelezo mafupi kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Katikati) wakati Taasisi hiyo ilipokutana nae leo Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bw. Rodney Thadeus.[/caption] [caption id="attachment_38157" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bw. Rodney Thadeus akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na MichezoDkt. Harrison Mwakyembe (Katikati) kuzungumza na Uongozi wa Taasisi ya Habari ya MISA – TAN leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38158" align="aligncenter" width="1000"] Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari ya MISA –TAN Wakili James Marenga akizungumza wakati wa kikao kati ya taasisi hiyo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na MichezoDkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia) kuhusu maendeleo ya sekta ya Habari leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38159" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Taasisi ya Habari ya MISA –TAN pamoja na baadhi ya viongozi wa Wizara yake.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi