Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA
Oct 03, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_36246" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akizungumza wakati alipokuwa akipokea ripoti ya tathmini ya utendaji ya Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_36247" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akizungumza wakati alipokuwa akipokea ripoti ya tathmini ya utendaji ya Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_36249" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Balozi Matern Lumbanga akiwasilisha ripoti ya tathmini ya utendaji wa PPRA kwa mwaka wa fedha 2017/18, leo jijini Dodoma.Kushoto ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi. Ayoub Kisuwi.[/caption] [caption id="attachment_36251" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa ununuzi wa Umma (PPRA) wakifuatilia ripoti ya tathmini ya utendaji wa PPRA kwa mwaka wa fedha 2017/18, leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_36252" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya watendaji kutoka Wizara ya Fedha na Mipango wakifuatilia kikao baina ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango (hayupo pichani) na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_36253" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akizindua ripoti ya tathmini ya utendaji ya Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma.Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA Balozi Matern Lumbanga.[/caption] [caption id="attachment_36254" align="aligncenter" width="958"] Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango(mwenye tai nyekundu) akiteta jambo na wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) mara baada ya kupokea ripoti ya ripoti ya tathmini ya utendaji ya PPRA kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA Balozi Matern Lumbanga.[/caption] [caption id="attachment_36255" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) na Menejimenti ya PPRA mara baada ya kupokea ripoti ya ripoti ya tathmini ya utendaji ya PPRA kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma. (Picha na: Frank Shija - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi