Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Tony Blair Akutana na Rais Dkt. Mwinyi
Oct 05, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Mhe. Tony Blair (wa pili kulia) leo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akifuatana na Ujumbe wake.
Na
Ikulu - Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akibadilishana mawazo na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Mhe. Tony Blair, leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair, leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao.