Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni Leo
Feb 06, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_28625" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchini, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viana, Akira na Wende Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, January Makamba (katikati), Bungeni mjini Dodoma Februari 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_28626" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Capt. George Mkuchika, Bungeni mjini Dodoma, Februari 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_28624" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni mjini Dodoma Februari 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi