Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Mpango wa Pili Jumuishi wa Huduma za Kifedha
Dec 21, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25402" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_25403" align="aligncenter" width="750"] Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Beno Ndullu akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa na Gavana Mteule wa BOT, Profesa Florens Luoga.[/caption] [caption id="attachment_25404" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu leo jijini Dar es Salaam wakifuatilia hotuba za viongozi mbambalimbali.[/caption] [caption id="attachment_25405" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania anayemaliza muda wake Profesa Beno Ndulu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji.[/caption] [caption id="attachment_25406" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla ya kuzindua Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Eliphace Marwa – MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi