Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Majaliwa Akutana na Wajumbe wa Kamati ya Hamasa ya Timu za Taifa
Jan 17, 2024
Waziri Mkuu Majaliwa Akutana na Wajumbe wa Kamati ya Hamasa ya Timu za Taifa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa kamati ya hamasa ya timu za Taifa, kikao hicho kimefanyika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Januari 17, 2024. Mheshimiwa Waziri Mkuu ameipongeza kamati hiyo kwa kufanikisha harambee ya kuzichangia timu za Taifa iliyofanyika Januari 10, 2024 kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi