Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Majaliwa Afanya Mazungumzo Rasmi na Rais Xi Jinping
Sep 06, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34932" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa China, Xi Jinping (wapili kushoto) kwenye ukumbi wa Great Hall of the People uliopo Beijing nchini China, Septemba 6, 2018.[/caption] [caption id="attachment_34933" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakitoka ndani ya ukumbi wa Great Hall of the People uliopo Beijing nchini China baada ya mazungumzo yake na Rais wa China, Xi Jinping Septemba 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi