Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Awasili Nchini Cuba kwa Ziara ya Kikazi
Aug 18, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_9431" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakipata makaribisho Nchini Cuba jana August 17/2017 kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nnje wa CUBA Bibi Ana Teresa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Havana kwa ziara ya kikazi Nchini Cuba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_9432" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nnje wa CUBA Bibi Ana Teresa mara baada ya kuwasili jana August 17/2017 katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Havana kwa ajili ya ziara ya kikazi Nchini Cuba.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi