Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Mjini Dodoma
Nov 10, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22264" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfafanulia jambo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara Joyce Sokombi.(chadema) wakati wa Majadiliano ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Fedha kwa Mwaka 2018/2019 bungeni Dodoma leo Novemba 10/2017.[/caption] [caption id="attachment_22265" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida Martha Mlata (CCM) wakati wa Majadiliano ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Fedha kwa Mwaka 2018/2019 bungeni Dodoma leo Novemba 10/2017.[/caption] [caption id="attachment_22271" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsalimia Mtoto Yvone Sadick (miezi7)akiwa katika Viwanja vya Bunge na Mama yake Mariam Zablon kutoka Bukombe mkoani Geita walipotembelea bungeni Dodoma leo Novemba 10/2017 kujionea shughuli za Bunge.[/caption] [caption id="attachment_22266" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Injinia John Kijazi wakati alipomtembelea Waziri mkuu ofisini kwake mjini Dodoma leo Novemba 10/2017 kwa mazungumzo ya kikazi. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge,Kazi Ajira,Vijana na Walemavu Jenista Mhagama.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi