Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Akagua Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma, Juni 9, 2022.
Jun 09, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Juni 9, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelzo kutoka kwa Katibu Mkuu Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma, Juni 9, 2022.
Muonekano wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Juni 9, 2022.