[caption id="attachment_28113" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amehudhuria katika Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli.[/caption] [caption id="attachment_28115" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) na Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa (katikati) nje ya ukumbi wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU.[/caption] [caption id="attachment_28116" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, nje ya ukumbi wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU.[/caption] [caption id="attachment_28119" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, nje ya ukumbi wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU.[/caption] [caption id="attachment_28120" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mjumbe Maalum na Mwenyekiti wa Umoja wa Africa Nchini Sudan, Prof. Joram Biswaro, nje ya ukumbi wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]