[caption id="attachment_43005" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Rukia Ahmed Kassim, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 14, 2019.[/caption] [caption id="attachment_43006" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Risala Kabongo, kwenye jengo la Utawala la Bunge jijini Dodoma, Mei 14, 2019.[/caption] [caption id="attachment_43007" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kisalimiana na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule kwenye Jengo la Utawala la Bunge jijini Dodoma, Mei 14, 2019. Wengine pichani ni wastaafu wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero, Gibson Kachingwe (wapili kushoto), Philemon Nyalusai (katikati) na David Mhosole.[/caption] [caption id="attachment_43008" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Igunga, Dkt.. Dalaly Peter Kafumu, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 14, 2019.[/caption] [caption id="attachment_43009" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mwita Waitara, Bungeni jijini Dodoma, Mei 14, 2019.[/caption]