Waziri Mkuu Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Muungano, Zanzibar
Jan 10, 2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi, Susan Kunambi, wakati alipowasili katika eneo la Kibanda Maiti, kuweka jiwe la Msingi Skuli ya Muungano, iliyopo katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar 10.1.2024.
Na
Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mshauri Elekezi wa mradi huo, Mhandisi Salmin Hassan Ally kutoka Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA), kabla ya kuweka jiwe la Msingi Sikuli ya Muungano, iliyopo katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar 10.1.2024. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi Skuli ya Muungano, iliyopo katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar 10.1.2024.