Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati) akiongea na wanafunzi wanao somea fani ya Udaktari nchini Cuba katika Hotel ya Nacional de Cuba jana August 20/2017. Pamoja na mambo mengine, Waziri Mkuu aliwataka Wanafunzi hao kuwa wazalendo kwa nchi yao. Kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini Cuba, Bwana Goodchance Tarimo na kulia ni Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Canada na Cuba, Bwana Leonce Bilauri.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi Wakitanzania wanaosomea fani ya Udaktari Nchi Cuba. Waziri Mkuu yupo Havana Cuba kwa ziara ya Kikazi.
(Picha na Ofice ya Waziri Mkuu)