[caption id="attachment_45047" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Moustafa Madbuoly wakati akiwasili mjini Cairo Misri kwa ziara ya kikazi ya siku tatu nchini humo, Julai 8.2019.[/caption]
[caption id="attachment_45049" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Moustafa Madbuoly baada ya kuwasili mjini Cairo Misri kwa ziara ya kikazi ya siku tatu, Julai 8.2019.[/caption]