Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dk. Shein Akutana na Wasafirishaji Baharini
Jul 31, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_8008" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usafirishaji Baharini na Uongozi wa Mamlaka ya Usafirishaji Baharini katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.[/caption] [caption id="attachment_8009" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bandari na Uongozi wa Shirika la Bandari katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.[/caption] [caption id="attachment_8011" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bandari na Uongozi wa Shirika la Bandari katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.[/caption] [caption id="attachment_8014" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Meli, Uongozi wa Shirika la Meli pamoja na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.(Picha na Ikulu, Zanzibar)[/caption] [caption id="attachment_8015" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la meli wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Bodi hiyo na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi