Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Atoa Neno kwa Mabenki ya Biashara Kushiriki katika Uwekezaji Sekta ya Madini
Oct 01, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_36063" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu , Mkoani Geita[/caption] [caption id="attachment_36067" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitembelea baadhi ya mabanda wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu , Mkoani Geita[/caption]   [caption id="attachment_36069" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel akiongea wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu, ambapo alisisitiza kuwa ataendelea kusimamia rasilimali ya madini katika Mkoa wa Geita ili iweze kuwanufaisha wakazi wa Mkoa huo na Taifa kwa Ujumla.[/caption] [caption id="attachment_36070" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Madini Mhe. Angelah Kairuki akiongea wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu, ambapo pamoja na mambo mengine aliitaka kampuni ya madini ya Geita Gold Mine kuwafidia wananchi waliothiriwa nyumba zao mitetemo ya uchimbaji wa madini, kufikia Oktoba 24, 2018[/caption] [caption id="attachment_36071" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiongea wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu, ambapo pamoja na mambo mengine aliziasa benki za kibiashara kushiriki katika ukuaji wa sekta ya madini kwa kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo, lengo likiwa ni kuwasaidia wachimbaji hao kuwa na masoko ya uhakika wa madini.[/caption] [caption id="attachment_36072" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel akimpa zawadi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu , Mkoani Geita[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi