Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Atembelea Mradi wa Ujenzi wa Chuo cha Walimu Kitangali
Feb 27, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_29034" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo ya mradi wa ujenzi wa chuo cha walimu Kitangali na Mshauri wa mradi, Benson Mwemezi, wakati akikagua mradi huo uliopo katika Kata ya Maputi, Wilayani Newala, Februari 27, 2018.

[/caption] [caption id="attachment_29035" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Dkt Leonard Akwilapo, wakati alipo kagua mradi wa ujenzi wa chuo cha walimu Kitangali, uliopo katika Kata ya Maputi, Wilayani Newala, Februari 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi