Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Atembelea Maeneo Yaliyoathirika kwa Mafuriko, Atoa Heshima za Mwisho kwa Waliofariki
Dec 04, 2023
Waziri Mkuu Atembelea Maeneo Yaliyoathirika kwa Mafuriko, Atoa Heshima za Mwisho kwa Waliofariki
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maeneo yaliyoathirika kwa mafuriko katika Kijiji cha Gendabi wilayani Hanang, Desemba 4, 2023.
Na Mwandishi Wetu

Muonekano wa eneo la Katesh ambalo baadhi ya mitaa imejaa tope. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitemblea eneo hilo Disemba 4, 2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho Desemba 04, 2023 kwa miili ya watu waliofariki dunia katika maafa yaliyosababishwa na mafuriko yaliyotokea katika eneo la Katesh mkoani Manyara

 

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi