Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Kufungua Kongamano la Wanawake na Vijana Katika Biashara
Dec 06, 2023
Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Kufungua Kongamano la Wanawake na Vijana Katika Biashara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara ya ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA ) kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es salaam, Disemba 6, 2023.
Na Administrator

Baadhi ya washiriki wa Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA) kwenye Kituo  cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es salaam, Disemba 6, 2023.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyuzi za mkonge wakati alipotembelea banda la maonesho la kampuni ya AJA Tanzania Limited inayojishugulisha na biashara ya nyuzi za mkonge na bidhaa zake kabla ya kufungua  Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA ) kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es salaam, Disemba 6, 2023. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Happiness Nyiti na kulia ni Ofisa  Mtendaji Mkuu  wa kampuni ya Mwanamama Soko, Dorris Malle.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisindikizwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji (kulia kwake ) pamoja na viongozi wengeine wakati alipotoka kwenye  Kituo cha mikutano cha  Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es salaam kufungua Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es salaam, Disemba 6, 2023.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi baada ya kufungua Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA ) kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es salaam, Disemba 6, 2023.

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi