[caption id="attachment_52548" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa, jijini Dodoma, Dodoma, Mei 5, 2020.[/caption] [caption id="attachment_52549" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), lililopo Njedengwa, jijini Dodoma, linalojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya SUMA JKT,[/caption] [caption id="attachment_52552" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Msimamizi na Meneja Mradi, Godwin Maro, wakati alipoenda kukagua ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), iliyopo Njedengwa, jijini Dodoma Mei 5, 2020.[/caption]