Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu, Akagua Athari Zilizosababishwa na Mafuriko Maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi
Apr 16, 2024
Waziri Mkuu, Akagua Athari Zilizosababishwa na Mafuriko Maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, wakati alipowasili katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, wakati alikagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi. Aprili 16.2024.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mkono wananchi wa Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wakati alikagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi. Aprili 16.2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wakati alikagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi. Aprili 16. 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro. Aprili 16.2024.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi