Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Afungua Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia
Jul 18, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_45399" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), wakati akikagua mabanda katika, kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019.[/caption] [caption id="attachment_45400" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kutotolea vifaranga, iliyobuniwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM), kabla ya kufungua Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019.[/caption] [caption id="attachment_45401" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mita ya maji ya malipo ya kabla, iliyobuniwa na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Saint Joseph, Khadija Mustapha (kulia), kabla ya kufungua Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019.[/caption] [caption id="attachment_45403" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Meneja Usajili na Utambuzi (NIDA), Julien Bernard (kulia), kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019.[/caption] [caption id="attachment_45404" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kutayarishia vitambulisho vya Taifa, wakati akikagua banda la (NIDA), kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. Kulia ni Mtaalamu wa mashine hiyo, Marwa Mbolea.[/caption]   [caption id="attachment_45406" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi, waliyohudhuria kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019.[/caption] [caption id="attachment_45407" align="aligncenter" width="645"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, baada ya ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi