Waziri Mkuu Afungua Mafunzo ya Watendaji wa Kata na Vijiji, Ruangwa
Apr 14, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mafunzo ya Utawala Bora kwa Watendaji wa Kata na Vijiji, kwenye ukumbi wa Ghala la Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Lindi Aprili 14, 2022.
Watendaji wa Kata na Vijiji wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mafunzo ya Utawala Bora kwa watendaji hao kwenye ukumbi wa Ghala la Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Lindi Aprili 14, 2022