Waziri Mkuu Afungua Kongamano la Mwaka Kuhusu Sera ya Kilimo
Apr 17, 2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Kongamano la Kumi la Mwaka kuhusu Sera ya Kilimo (AAPC) kwenye ukumbi wa Jenerali Venance Mabeyo jijini Dodoma, Aprili 17, 2024.
Na
Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule alipowasili kwenye ukumbi wa Jenerali Venance Mabeyo jijini Dodoma kufungua Kongamano la Kumi la Mwaka kuhusu Sera ya Kilimo (AAPC) , Aprili 17, 2024. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuingia kwenye ukumbi wa Jenerali Venance Mabeyo jijini Dodoma kufungua Kongamano la Kumi la Mwaka kuhusu Sera ya Kilimo (AAPC), Aprili 17, 2024.