Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Afunga Mkutano wa SADCOPAC
Apr 18, 2024
Waziri Mkuu Afunga Mkutano wa SADCOPAC
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Abeid Aman Karume Zanzibar ambako atafunga Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na Ufanyaji wa Kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge (SADCOPAC) kwenye hoteli ya Goilden Tulip, Aprili 18, 2024.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na Ufanyaji wa Kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge (SADCOPAC) kwenye hoteli ya Goilden Tulip, Zanzibar, Aprili 18, 2024. 
Baadhi ya washiriki  wa  Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na Ufanyaji wa Kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge (SADCOPAC) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofunga mkutano huo kwenye hotel ya Golden Tulip Zanzibar, Aprili 18, 2024. 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi