Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Afunga Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wadau wa Lishe
Oct 03, 2024
Waziri Mkuu Afunga Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wadau wa Lishe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3, 2024.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Afisa Lishe wa Jiji la Mbeya, Itika Mulagalila (wa tatu kushoto) katika maonesho ya  lishe mbalimbali kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa Kumi wa  Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Afisa Lishe, Amasidze Buhela alipotembelea banda la maonesho la Taasisi ya COUNSENUTH Tanzania kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3, 2024. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo wa kuchanganya lishe katika vyakula alipotembelea banda la maonesho la Taasisi ya GAIN Tanzania kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa Kumi wa  Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3, 2024. Wa tatu kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel na kushoto ni Meneja Mradi wa GAIN Tanzania, Archard Ngemera.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wadau wa Lishe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofunga mkutano huo kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3, 2024.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi