Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Makamba Akagua Ujenzi wa Kingo za Bahari, Mto Msimbazi
Jul 27, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_7646" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akimsikiliza msimamizi wa ujenzi kingo za Mto Msimbazi katika eneo la Ilala Bungoni Mhandisi Jovinalis Kamugisha toka Kampuni ya Dezo Civil Constructions wakati wa ziara ya Waziri huyo kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_7647" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akikagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa kingo katika mto Msimbazi eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara yake ya kikazi kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_7648" align="aligncenter" width="750"] Diwani wa Kata ya Ilala Mhe. Saady Khimji akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba maendeleo ya mradi wa ujenzi wa kingo katika mto Msimbazi eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara ya Waziri huyo kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_7651" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa kingo za mto Msimbazi katika eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni barabara ya Barack Obama mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_7654" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa kingo za mto Msimbazi eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_7655" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akimsikiliza mfanyabiashara ya chakula (Mama Lishe) katika eneo la Ilala Bungoni alipokuwa katika ziara ya kikazi ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_7660" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba (kushoto) akipata maelekezo toka kwa Mhandisi Frank Juvenily toka Kampuni ya Dezo Civil Constructions wakati wa ziara ya Waziri huyo ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo. (Picha na Eliphace Marwa)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi