[caption id="attachment_47461" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akifafanua jambo kwa Mshauri na Meneja wa Bajeti kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), Upande wa Afrika Enrique Gelbard (hayupo pichani) alipomtembelea Ofisini kwake leo Oktoba 1, 2019 Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_47462" align="aligncenter" width="750"]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki , akimsikiliza Mshauri na Meneja wa Bajeti kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), Upande wa Afrika Enrique Gelbard (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake leo Oktoba 1, 2019 Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_47463" align="aligncenter" width="750"]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki , akiandika anayoyasikia kutoka kwa Mshauri na Meneja wa Bajeti kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), Upande wa Afrika Enrique Gelbard (kulia), alipomtembelea ofisini kwake leo Oktoba 1, 2019 Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_47464" align="aligncenter" width="750"]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akizungumza na Wawekezaji kwenye sekta ya mafuta na gesi kutoka Canada,walipotembelea Ofisini kwake kuangalia fursa za uwekezaji Nchini kwenye Sekta hiyo.[/caption]
[caption id="attachment_47465" align="aligncenter" width="750"]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akifurahia jambio na Wawekezaji kutoka Canada,walipotembelea Ofisini kwake kuangalia fursa za uwekezaji Nchini kwenye sekta ya mafuta na gesi.[/caption]
[caption id="attachment_47466" align="aligncenter" width="750"]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akizungumza na Wawekezaji kutoka Uturuki,walipotembelea Ofisini kwake leo Oktoba 1, 2019 Jijini Dar es Salaam, kuangalia fursa za Uwekezaji Nchini.[/caption]