Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Jenista Atembelea Vituo Vya Hali ya Hewa Arumeru
Nov 22, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_23225" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimsikiliza Mwikolojia Bi.Clara Manase alipokuwa akieleza faida ya kituo cha Utoaji wa Taarifa za Hali ya Hewa kilichojengwa katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha mkoani Arusha[/caption] [caption id="attachment_23226" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano na baadhi ya Watendaji wa Serikali alipofanya ziara Wilayani Arumeru kujionea Vituo vya Hali ya Hewa vinavyoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa Kuimarisha Taarifa za Hali ya Hewa na Mfumo wa Tahadhari.[/caption] [caption id="attachment_23227" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano na baadhi ya Watendaji wa Serikali alipofanya ziara Wilayani Arumeru kujionea Vituo vya Hali ya Hewa vinavyoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa Kuimarisha Taarifa za Hali ya Hewa na Mfumo wa Tahadhari.[/caption] [caption id="attachment_23228" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika ziara na Baadhi ya Watendaji wa Serikali walioongozana naye kutembelea Vituo vya Hali ya Hewa vilivyofungwa na Mradi wa Kuimarisha Taarifa za Hali ya Hewa na Mfumo wa Tahadhari Arumeru.(Picha zote na: Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi