Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwakyembe Afungua Mashindano ya Magari
Aug 05, 2017
Na Msemaji Mkuu

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiongea wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Magari kwa Mwaka 2017 yanayodhaminiwa na Kampuni ya Oryx.

Makamu wa Rais Chama cha Magari Tanzania (AA Tanzania) Bw. Gautam Chavda (wa pili kushoto) akiongea wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Magari kwa Mwaka 2017 yanayodhaminiwa na Kampuni ya Oryx.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokea zawadi ya kinyago cha Twiga wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Magari kwa Mwaka 2017 yanayodhaminiwa na Kampuni ya Oryx.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (aliyeshika bendera) akizindua rasmi mbio za magari katika wa Ufunguzi wa Mashindano ya Magari kwa Mwaka 2017 yanayodhaminiwa na Kampuni ya Oryx.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiyaruhusu magari kuondoka wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Magari kwa Mwaka 2017 yanayodhaminiwa na Kampuni ya Oryx.

(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi