Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wataalam Sekta ya Madini Wafanya Ziara ya Mafunzo GGM
Dec 06, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24225" align="aligncenter" width="750"] Mkufunzi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya nchini Canada (CIRDI), Colleen Crystal (kulia) akizungumza na wataalam wa Madini wa ndani na nje ya nchi wakati walipofanya ziara ya mafunzo katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) .[/caption] [caption id="attachment_24226" align="aligncenter" width="750"] Wataalam wa Madini nchini na nje ya nchi wakiangalia eneo ambalo uoteshaji wa miti umefanyika baada ya uchimbaji madini kukamilika lengo likiwa ni kuhifadhi mazingira mara baada ya shughuli za uchimbaji madini kukamilika katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM).[/caption] [caption id="attachment_24227" align="aligncenter" width="750"] Mkufunzi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya nchini Canada (CIRDI), Colleen Crystal (kushoto) akizungumza na Wataalam wa Madini nchini na nje ya Tanzania wakati walipofanya ziara ya mafunzo katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) .[/caption] [caption id="attachment_24228" align="aligncenter" width="750"] Wataalam wa Madini nchini na nje ya Tanzania wakiangalia shughuli za uchimbaji madini katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) baada ya kufanya ziara ya mafunzo katika Mgodi huo.[/caption] [caption id="attachment_24229" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya eneo linalotumika kuhifadhi mabaki ya uchenjuaji (tailings) katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) ili mabaki hayo yasiweze kuleta madhara kwa binadamu na mazingira kwa ujumla.[/caption] [caption id="attachment_24230" align="aligncenter" width="750"] Wataalam kutoka Taasisi za Serikali zinazohusika na Sekta ya Madini ndani na nje ya nchi pamoja na Wakufunzi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya nchini Canada (CIRDI) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufanya ziara ya mafunzo katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi