Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Washiriki wa Mafunzo ya PlanRep Wafurahia Ufanisi Wake
Aug 09, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_8749" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI na Muwezeshaji kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) Bw. Jeremiah Mtawa akielezea namna mfumo huo unavyotumika katika sekta ya afya leo Jijini Mbeya. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) ambapo imewashirikisha watumiaji wa mfumo huo kutoka katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.[/caption] [caption id="attachment_8750" align="aligncenter" width="750"] Muwezeshaji wa Kitaifa kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) Mkama Lugina akielezea jambo wakati wa semina kwa watumiaji wa mfumo huo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) ambapo imewashirikisha watumiaji wa mfumo huo kutoka katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.[/caption] [caption id="attachment_8751" align="aligncenter" width="750"] Katibu wa Afya wa Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza na Muwezeshaji wa Kitaifa katika semina kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) Bi. Glory Mollel akifafanua jambo wakati wa semina kuhusu mfumo huo inayoendelea Jijini Mbeya leo. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) ambapo imewashirikisha watumiaji wa mfumo huo kutoka katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.[/caption] [caption id="attachment_8753" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wa semina kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) wakifuatilia mada wakati wa semina hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) ambapo imewashirikisha watumiaji wa mfumo huo kutoka katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.
Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO, Mbeya[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi