Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi
Jun 02, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_2443" align="aligncenter" width="1000"] Spika Mstaafu Anne Makinda akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU). (Picha na: Frank Shija)[/caption] [caption id="attachment_2444" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi - Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. Kulia ni Mkuu wa Sehemu ya Uchumi na Utawala kutoka Umoja wa Ulaya (EU), Oliveier COUPLEUX na Mwakilishi Mkazi wa HSF Tanzania na Uganda, Bi. Julia Berger.[/caption] [caption id="attachment_2445" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya washiriki wakifuatilia hotuba ya Spika Mstaa Anne Makinda (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi - Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2446" align="aligncenter" width="1000"] Mratibu wa Mradi wa “Wanawake Viongozi - Nguvu ya Mabadiliko” Bw. Herry Lugala akifafanua jambo kuhusu mradi huo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi rasmi wa mradi huo leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2449" align="aligncenter" width="1000"] Spika Mstaafu Anne Makinda akiteta jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2452" align="aligncenter" width="1000"] Spika Mstaafu Anne Makinda akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa WA Taasisi ya Women Fund Tanzania Bi. Rose Julius (kulia) wakati alipokuwa akitendelea maonyesho yaliyoenda sambamba na uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020.[/caption] [caption id="attachment_2455" align="aligncenter" width="823"] Spika Mstaafu Anne Makinda akifurahia zawadi aliyopewa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2458" align="aligncenter" width="1000"] Spika Mstaafu Anne Makinda akiagana na Mwakilishi Mkazi wa HSF Tanzania na Uganda, Bi. Julia Berger wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020.[/caption] [caption id="attachment_2461" align="aligncenter" width="1000"] Spika Mstaafu Anne Makinda na Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther wakati katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
(Picha zote: Frank Shija )[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi