Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wanakamati wakutana kujadili namna ya Kuhifadhi Kumbukumbu kuhusu Harakati za Ukombozi wa Bara la Afrika.
Jun 15, 2017
Na Msemaji Mkuu

Balozi Christopher Liundi akifafanua jambo wakati wa kikao kujadili namna ya kuhifadhi kumbukumbu kuhusu Harakati za Ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam.

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Orest Mushi akisikiliza kwa makini hoja zilizokuwa zikitolewa na wajumbe katika kikao cha Harakati za Ukombozi wa Bara la Afrika.

Mjumbe kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii Bibi. Mwantumu Haidari akichangia hoja wakati wa  kikao cha kamati ya kuhifadhi historia ya Harakati ya Ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam.

Wajumbe wa kikao cha Harakati za Ukombozi wa Bara la Afrika wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika kikao hicho leo Jijini Dar es Salaam.

(Picha na Lorietha Laurence-WHUSM).

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi