[caption id="attachment_21044" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga na waendesha Bodaboda wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.[/caption] [caption id="attachment_21045" align="aligncenter" width="1000"] Msanii Sholo Mwamba akitoa burudani kwa wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga na waendesha pikipiki waliokusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.[/caption] [caption id="attachment_21046" align="aligncenter" width="859"] Mwakilishi wa wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu kama Wamachinga Bw. Namoto Yusuf Namoto akisoma risala ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.[/caption] [caption id="attachment_21047" align="aligncenter" width="1000"] Mwakilishi wa waendesha pikipiki Wilaya ya Ilala Bw. Athanas Kitime akitoa salamu za waendesha bodaboda kwa Mgeni Rasmi, Waziri wa Madini Angellah Kairuki (hayupo pichani) wakati wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu Wamachinga na waendesha pikipiki wakimpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.[/caption] [caption id="attachment_21048" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga Bw. Steven Lusinde (kulia) na Mwakilishi wa waendesha pikipiki maarufu kama waendesha Bodaboda Bw. Athanas Kitime wakimkabidhi risala Mgeni Rasmi, Waziri wa Madini Angellah Kairuki wakati wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo na waendesha pikipiki wakimpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.[/caption] [caption id="attachment_21049" align="aligncenter" width="1000"] Mbunge wa Ilala Mhe. Mussa Azan akizungumza na wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo na waendesha pikipiki waliokusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.[/caption] [caption id="attachment_21050" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo na waendesha pikipiki waliokusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.[/caption] [caption id="attachment_21051" align="aligncenter" width="1000"] Mgeni Rasmi, Waziri wa Madini Angellah Kairuki akizungumza na wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga na waendesha pikipiki waliokusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake. (Picha na Eliphace Marwa)[/caption]