[caption id="attachment_8994" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto mwenye miwani) akipokelewa na viongozi alipowasili katika Ukumbi wa St. Gasper kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) leo Mkoani Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_8995" align="aligncenter" width="1000"] Kaimu Rais wa TFF Ndg. Wallace Karia akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu leo katika ukumbi wa St. Gasper Mkoani Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_8996" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wajumbe wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) (hawapo pichani) alipokua akifungua Mkutano Mkuu wa TFF leo Mkoani Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_8997" align="aligncenter" width="1000"] Mwakilishi kutoka CAF Bw. Souleman Hassan Waberi akitoa neno kwa wajumbe wa TFF (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) leo Mkoani Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_8998" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi wa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) wakisikiliza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo Mkoani Dodoma. Picha na Genofeva Matemu.[/caption]